House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA (250K X6)
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 500
KODI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO NJE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA