House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 250K MALIPO MIEZI X6
NEW APARTMENT MPIYA MPIYA KWENYE FENCI ZIPO 4
location kimara korogwe kirungure kutoka main rod km 2 bajaji sh.500 ukishuka dk 8 kwa mguu
sifa za nyumba ๐
Chumba master bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa
Tyries gpysamu dilisha aluminiamu umeme mita yako maji yapo masaa24/7 ndani yana tiririka parking space kubwa nyumba iko kwenye fenci mazingira mazuri sana
kodi 250k malipo miezi x6
kuona nyumba sh.15000
malipo ya dalali mwezi moja ulipiapo nyumba๐ค
NB:nyumba zinakuwa teari kuwamia tarehe 20/7/2025 kuona na kulipia rukusa
SIMU
0712656027