House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Vyumba vya 50,000 choo cha kushare wachache KIMARA SUKA GOLANI
MPYAAAA VINA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 50,000X6
NI VYUMBA SINGLE VIKALI SANA MPYAA KABISA
VIPO NDANI YA FENSI ILA FENSI YAKE HAILAZI GARI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 700
MAJI YAPO
UMEME UPO
WAHI CHAPU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300