House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 200,000X6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NI MAKUBWA SANA
KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI NI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670