House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Piya maji yanatoka chooni na jikoni
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
CALL
0712656027