House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







PIGA CM HARAKA HI SI YA KUJIULIZA SANA
APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISWA
KODI NI 400,000X6
LOCATION KIMARA BARUTI DK 5-6 KUTEMBEA
SIFA ZAKE
==========
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENCE INAJENGWA ISIYOLAZA GARI ILA SEHEMU YA PAKING IPO NI BUREE ULIPII
NB: NYUMBA ITAKUWA TIAR KUINGIA TAR 31/8/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
SERVICHAJ ELFU 15
#CONTACT
#0742260844_ #0657384670