House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DK 14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI  BODA BUKU
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
KODI  400,000/= × 4
 
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
KUNA SEHEMU YA KUPUMZIKA SAFI KABISA
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
KODI  400,000/= × 4
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300




















