House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

(400,000X12)KIMARA BARUTI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

BEI NI 400,000/= X 12

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET

#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#CAR PARKING

BEI NI 400,000/= X 12

ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MWAKA

🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NI UPANDE WA BARABARA YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_dar-es-salaam_kibamba_kibamba
dalali_mbezimwisho_kimara_tony
dalali_dar-es-salaam_kibamba_kibamba

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025 KUONA RUKSA BEI KODI N...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025 KUONA RUKSA BEI KODI N...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JI...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE KILUNGULENYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALAMaster bedroomSebu...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025 KUONA RUKSA BEI KODI N...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢HIZI APARTMENT MPYA KABISA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI#CHUMBA M...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚:...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE KODI 200,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NI MAKUBWA SANA KIMA...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI#VYUMBA VITATU VYA KULALA#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM#SEBULE #JIK...

3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT ZINAPANGISWA LOCATION KIMARA SUKA KROMT 1.5 NYUMBA MPYA MPYA ZOTE _____________NDANI YA FE...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE KODI 250,000X6 VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER PUBLI TOIL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE KODI 200,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NI MAKUBWA SANA KIMA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHO KODI 400,000X6 INA VYUMBA V...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI#VYUMBA VITATU VYA KULALA#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM#SEBULE #JIK...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🇹🇿New Apartment Classic For Rent Ipo Mtaa Mzuri Sana Location: KIMARA STOP OVER Distance: Dakika 1...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE KODI 250,000X6 VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER PUBLI TOIL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 210,000

NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO ......PIGA SIMU CHUMBA SEBLEE CHOO NA JIKOKODI LAKI MBILI NA KUMI...