House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Majo yana flow.
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏