House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
KODI 250,000X6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1.5
BODA BODA 1000
BAJAJI 500
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING ZINAWEKWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
Cont
0683234124
0718367179



















