House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
BAJAJI 700
KODI 150,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA KIBARAZA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
FENS MAFUNDI WAPO WANAJENGA NA IMESHA AAANZA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
UKILIPIA INA PIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO NDOGO UNAKABIDHIWA IKIWA MPYAAA
###0655256419