House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA 350,000/=ร 5/6
--------------------------------
๐Mahali KIMARA MWISHO_1.5KM(Dsm) ๐น๐ฟ
Bajaji Zipo Muda Wote 700/=
Sehemu nzuri sana
_______________________________________
MUUNDO
โ๏ธVyumba 03 _ 01 Master
โ๏ธSebule Nzuri Kubwa
โ๏ธJiko lina Makabati
โ๏ธDining room
โ๏ธ Public toilet safi ndani
โ๏ธ Parking Nzuri
โ๏ธNyumba nzuri &Ya kisasa
โ๏ธFull Security
โ๏ธ Reserve Tank
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
โ๏ธMaji Mita Yako
โ๏ธUmeme #LUKU YAKO
๐Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
#INAFAULISHWA ITAKUWA WAZI 01/03/2024.
โโโโโโโโโโโโโโโ
KODI;
350,000/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 5 /6 + Mwezi mmoja wa dalali
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000
_____________________
# Simu 0757 404087