House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







BONGE MOJA LA MASTER INAKUWA WAZI TAREHE 25/08/2025 KUONA MALIPO RUKSA MPANGAJI AKIWEPO YA CHINI ITAKUWA WAZI
#MASTER KUBWA SANA YENYEWE JIKO OPERN KITCHEN
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI YA MICHONGOMA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA SANA
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
,##0655256419