House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(170,000X6) KIMARA TEMBONI
โโ
*APARTMENT NZURI KABISA*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
๐ฅ *KODI YAKE 170K X 4\/\/*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE.*๐
*#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA*
*# SEBURE KUBWA SANA*
*# PUBLIC TOILET \/ INSIDE SMART*
*#UMEME METER YAKE*
*#MAJI DAWASA METER WANASHARE W3 NA YANAFLOW NDANI*
๐๏ธ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2*
*BAJAJI TSH 700\/=*
*BODA. TSH1000\/=*
โผ๏ธ *NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA MLINZI YUPO TENA KAMPUNI ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA* โผ๏ธ
๐๏ธ๐น๐ฟ *KARIBUNI SAANA*
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano dalali mwenzi mmoja
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja