House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM1.7 KUTOKA LAMI
--------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Tiles
Gypsum
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence lakini ailazi gari ndani
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐