House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






HII APARTMENT ITAKUWA WAZI TAR 25/05/2025 NI J PILI
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA SUKA
.
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PERVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI GARDEN SAFI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOONI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670