House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA, SEBULE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW CHOONI#HAKUNA MASTER BEDROOM
*ZIKO 4 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
_____________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/2/2025..KUONA NA KULIPA LUKSA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347