House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI 100K MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI CHA WASTANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI 
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE HAKUNA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI 
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
0712474756
_____________________________




















