House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


☎️APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
KODI KWA MWEZI NI 500,000 × 6
LOCATION: KIMARA TEMBONI
DISTANCE: DAKIKA 6 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA Ya APARTMENT
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA V2 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITIONs
#HEATER ZA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD
💥 UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 (500,000/=)
SERVICE CHARGE 15,000 MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
❌❌ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA ❌❌
FOR MORE INFORMATIONS
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030