House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: Kimara Mwisho
Umbali wa Kilomita 2 kutoka Main Road, Usafiri BAJAJ Daladala 500 na pikipiki
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Dining
• Full a/c
• Vyumba Viwili na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Zuri Kubwa
• Public Toilet
• Sebuleni kubwa na mafeni juu
Apartment Zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo.
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350,000/- MALIPO MIEZI 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu....
CONTACT US:
0716223412
0683597453