House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HII HAPA IPO WAZI MPANGAJI KASHAHAMA 
---------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA DK  10 KUTOKA STEND KWA MKUA.
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH 5OO UKITOKEA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL KOTE UNAFIKA .
------
SIFA ZA NYUMBA =
################
VYUMBA  3 VYA KULALA KIMOJA MASTER  KUBWA NA VYUMBA VINGINE NI VYA WASTANI 
SEBULE 
JIKO LENYE MAKABATI 
NA JIKO  LA NJE
PUBLIC TOILET 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI YANAFLOW CHOONI JIKONI 
IPO NDANI YA FENSI YA WAYA
KODI NI LAKI  200,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
NOTE =
BARABARA NI CHANGAMOTO KIDOGO
CONTACT 
0742260844
0657384670




















