House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000X6)KIMARA KOROGWE KWA MKUWA, BAJAJI 500
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🏘APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KORGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 UNAWEZA PITA UBUNGO EXTENO UNAFIKA PIA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
TOILET BUPLICE
JIKO
SIFA ZAKE
TAILIZI GPYSAMU DILISHA ALUMINIAM MAJI MITA YAKO UMEME MITA YAKO
NYUMBA IKO KWENYE FENCI PAVING BLOCK 🚫 PACKING KUBWA
USAFILI UPO MASAA 24 BAJAJI DALADALA PIKIPIKI BALABALA LAFIKI KWA GARI ZOTE MBAKA SAIT
KODI 300K MALIPO MIEZI X6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA TU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453