House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI YA WAYA, INAJITEGEMEA KILA KITU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, DALADALA 700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:
*CALL:
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________
0658884015
0679997610
Msigwa