House for rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 300,000/= X 6

ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI
________

#Dalali   kimara
dalali_kimara_mbezi_
#Dalali kimara

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KODI NI 400,000X5x6 APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 🌍 LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI WA ...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM ...

Sh. 200,000

MINI STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA SIFA ZAKE:✓ 1 BEDROOM✓ SEBURE KUBWA ✓ PUBLIC WASHROOM NDAN✓ UME...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 12 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 150,000/=X6SIFA ZAKE NI CH...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 547,258

( 250,000 x 3) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) KWENYE COMPSUND MOJA...

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TARE...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TARE...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X4),KIMARA MWISHO➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞�...

Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X3) KIMARA TEMBONI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖*APARTMENT NZURI YA KIBACHELA* *CHUMBA MASTER [SINGLE]* *INAPA...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

(700,000X6)KIMARA TEMBONI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI#VYUMBA VITATU VYA KULALA#...

Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X3) KIMARA TEMBONI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖*APARTMENT NZURI YA KIBACHELA* *CHUMBA MASTER [SINGLE]* *INAPA...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️KODI 250,000 × 6 LOCATION: KIMARA KOROGWE MWENDOKASI KM 1.5 USAFIRI...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

AYA BEBA PESA KABISA NDUGU MTEJA 💰✍️⛳️APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAKODI 250,000 × 6 Location: KI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🇹🇿NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT Mnaopenda Nyumba Nzuri 🏃🏃‍♂️💰✍️KODI 600,000 × 6Location: KIMAR...