House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 21.7.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐