House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabat
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
📞#0693_673010
📞#0676_218580 (WhatsApp)
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏