House for rent at Madale, Dar Es Salaam


Stand alone Inapangishwa:
Unajitegemea peke yako
Location :: Madale mivumoni
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
Vyumba vinne (kimoja Masta)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati
Choo cha wageni
Fans
Paving Blocks
Fence
NB :KUNA ENEO KUBWA SANA LINAFAA SANA KWA MTU ANAEPENDA KUFUGA
0692904876
0719082300
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana