House for rent at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA NA NZURI MNOO ZINAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 4,5 ,6
LOCATION.. MADALE
DISTANCE. 1KM
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA PIA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA MPYA KABISA UNAZINDUWA MWENYEWE
BEI NI 400,000/= X 4
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IP0 MADALE UMBALI WA 1KM TU BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924
0688653940