House for Rent at Magomeni, Dar Es Salaam


JENGO LA BIASHARA-NA-MAKAZI TSHS 1.6 BILIONI, MAGOMENI-DAR.
Hapa kuna Maduka 2 na APARTMENT 8.
Kote kuna Wapangaji.
Jengo hili kwa Mwezi MAKUSANYO yake ni jumla ya Tshs 7 MILIONI (MILIONI SABA)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________dttKj