House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI KM/ [3] KUFIKA MAARUFU SARANGA KWAMAKOFIA
USAFIRI BAJAJI [1000] BODA [1500] UKISHUKA BAJAJI DK [5]
NICHUMBA MASTAR SEBULE JIKO
FULL TAILIS GYUPUSA ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 170 X 4 NAKUENDELEA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343