House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000X3)MBEZI KWA MSUGURI 2KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖
HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE KUBWA
✔️JIKO ZURI
===
UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASKO YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
WATER STORAGE TANKS
Bei:200,000 Kwa mwezi X3
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
CHAPU KABLA UJAWAHIWA
===
0716223412
068359745E