House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


VYUMBA V2 SEBLE JIKO NA CHOO..VYUMBA VYOTE NI MASTAR
INAPANGISHWA LAKI 330,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
IPO MBEZI BEACH TANKI BOVU
IPO NDANI YA FENSI
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
Call, WhatsApp
0788633081
0756455653