House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NA NZURI YA KUPANGA INAYOJITEGEMEA YENYEWE (STANDALONE) IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KM 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD
INA...... 👇🏻
=Vyumba 3
=Master Bedroom 1
=Sebule kubwa
=Dining
=Jiko lenye makabati
=Stoo
=Public toilet
=Umeme & Maji Dawasco
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI, PARKING KUBWA, SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO IPO, USALAMA PIA NI WA KUTOSHA
BEI NI TZS 600,000/-X6
ILIPWE MIEZI YOTE SITA(6) NA KUENDELEA
BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNATEMBEA DK 4, BODA 1000 MPAKA MLANGONI PIA KAMA NI MTEMBEAJI MZURI UTATUMIA DK 15 KUTOKA KWA MSUGURI MPK MJENGONI.
SERVICE CHARGE TZS 15,000
MALIPO DALALI MWEZI 1
0679 956 863
0759151524
0696708032