House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI BEACH MAKONDE
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
- Sebule Kubwa
- Dining
- Vyumba VITATU vya Kulala na Kimoja Wapo Master
- Jiko Kubwa la Kisasa
- Public Toilet
- Reserve Tank (Dawasa)
- Heater
Apartment Zipo 4 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 800,000/- Malipo Miezi 4 na Kuendelea
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 20,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call