House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
šļøAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
ā¼ļøHAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
šļøAPARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
ā¼ļøAPARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 š
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 š
What saapp number ā¬
ļø 0689-547258