House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT CLASSIC SANA INAPANGISHWA NA IPO MTAA MZURI SANA
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
๐๏ธVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE YA WASTANI
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 350,000/= X 6
--------------------------
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE
------------------
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258