House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU 
.
.
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
.
.
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW DAWASA 
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
TILES,GYPSUM 
GARDEN SAFI 
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
.
.
SERVICE CHARGE 15,000/=
.
.
CONTACT 
0742260844
0657384670




















