House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 55
IMESHUKA JAMANI
_________
NYUMBA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO KIFUTU
_________
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA DAKIKA 12 KWA MIGUU BODA BODA 1000
__________
BARABARA INAFIKIKA MUDA WOWOTE
___________
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA KUBWA NA KINA AISII
___________
SEBULE DAININGI
JIKO LA KISASA
CHOO CHA
PABILIKI
__________
NYUMBA INA CC TV CAMERA KUBWA
_________
INAMPANGAJI ANALIPA KODI LAKI TANO KWA MWEZI
_________
KUPELEKWA KUONA 30000
_________
BARABARA NZURI INAFIKIKA MUDA HOHOTE
KWA MAGARI YA AINA ZOTE
__________
UKUBWA WA ENEO SM 350