House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH SHOPPERS
---------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Full air condition
Slide window
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 500 KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni $500
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿