House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
πENEO- MBEZI KWAMSUGURI
Upande wa kusho kama unaenda mbezi
πBEI - 100,000 x4,5,6
NYUMBA
YENYE
______
πΈChumba master na
πΈSebule kubwa sana
πΈ Maji yanatoka ndani
πΈWapangaji watatu tu
πΈIla kimoja ndicho kipo waziiii
πΈMadrisha ya kioo
πΈUmeme
πΈHaipo kwenye fensi,ila usalama wakutosha
πΈUmbali wa 2km
Bajaji 1000
PK PK 1500
Ukishuka kwenye bajaji unaingia ndani
πService charge. 15,000 elfu
Piga 0659244543



















