House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MRADI UMEPATIKANA DAKIKA ZA JIONI SANA ..MCHELEWE NYINYI TU.

Wewe unakopeshwa kiwanja mbweni tena mkopo wa miezi sita(6).

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000,000

HOUSE FOR SALE MBWENI JKT_____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 1744UMILIKI - HATI YA WIZARA ...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

$ 480,000

NEW HOUSE FOR SALELOCATED AT MBWENI JKT ASKING PRICE: USD 480,000$ AREA SIZE: SQM 1000WITH A CLEAN T...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbweni JKT, inatizama Barabara ya Lami.SQM 1,000BEI Bilioni 1.2 MaongeziHati ya u...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 900,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

FOR SALE Tsh MIL 800Area size sqm 700document ( Title deed )Located in mbweni jktCall 0712464777Call...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

PLOT FOR SALE MBWENI JKT BLOCK 8SQM 852ML 320HATI SAFI βœ…Kalibu anatoth goba kwa awaziUjipatie kiwanj...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,000,000

dash_outfits_tz 🏠 Apartment for Rent – Mbweni, Dar es SalaamπŸ“ Location:Mbweni – Just 1 minute from...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 465,000,000

KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT BEI NI MIL 465 tshs KINA UKUBWA WA SQM 1600KINA HATI MILIKI, KIKO NDANI ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 92,000,000

PLOT INAYOTAZAMA MTAA MKUU WA KIWANGO CHA BARABARAYA YA LAMI INAUZWA LOCATED MBWENI DAR ES SALAAM PL...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo mbweni JktUkubwa wa Kiwanja Sqm 1200. Bei ni Milioni 320, maongezi yapo.Gharam...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 370,000,000

PLOT FOR SALE 30/ 07 / 2025LOCATION: MBWENI MPIJIPLOT SIZE: SQM 3600FULL TITLE DEEDPrice: MILIONI ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

Kiwanja kinauzwa Beach plot kipo mbweni malindi mji mpyaUkubwa wa Kiwanja Sqm 500. Bei ni Milioni 50...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 550MAHALI β€’ Mbweni JktMKOA β€’ Dar es salaamWILAYA β€’ KinondoniUKUBWA β€’ Sqm...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 130MAHALI β€’ Mbweni MalindiMKOA β€’ Dar es salaamWILAYA β€’ KinondoniUKUBWA β€’ ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 550MAHALI β€’ Mbweni JktMKOA β€’ Dar es salaamWILAYA β€’ KinondoniUKUBWA β€’ Sqm...

Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 75,000,000

VIWANJA VINAUZWA VIPO VITATU TUMAHALI - MBWENI ROUND ABOUTUKUBWA - SQM 751 Tsh 150 MUKUBWA - SQM 42...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

PLOT FOR SALE Tsh 280 MArea sqm 1125located at Mbweni jktDocument ( Title deed )TUWASILIANE071246477...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

GOROFA LINAUNZWA INA VYUMBA VINNE NA BYCOTA ENEO SQMT 2500OFFER MILLION 500MAONGEZ HAT IMENYOOKA LOC...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

PLOT FOR SALE Tsh 150 MArea sqm 770located at Mbweni Round AboutDocument ( Title deed )TUWASILIANE07...

House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Plot 4 sale....Location mbweni malindi...Distance dk3 to main Road. Residential...πŸ’―Panafaa kujenga ...