House for rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms, Sebule na Jiko 700k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Mikocheni B📍
• Nyumba ina Vyumba viwili Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Ipo Karibu Sana Na Barabara
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 700k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp📲