House for Rent at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
media -2
media -3
Sh. 3,300,000
Project
Yes

JE WEWE NI MMOJA WAPO UNAYEITAJI/KUHANGAIKA KUPATA VIWANJA VYA MJINI....!?
..
Hii inakuhusu wewe unayeitaji kupata viwanja vya mjini, ambavyo vina huduma zote za muhimu.
Chagile Real Estate ni mabingwa na wazoefu wa hizi kazi, kwa zaidi ya miaka mitano.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81
..
Tumekuandalia miradi yetu MITATU ya viwanja MBAGALA VIKINDU MJINI hupaswi kukosa kabisa ndugu mtanzania tena kwa bei rahisi na zakizawa.
..
Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali, maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda upo kila siku.

1]MRADI WA VIKINDU VIANZI MJINI.
Mradi wetu wa Vikindu Vianzi mjini bei zake ni TSh million 2.6 [tsh 2,600,000 /=] kwa millioni 3.3 TU [tsh 3,300,000/]. Malipo kwa awamu mbili utaanza na asilimia 50% hadi 70% kiasi kinachobakia utapewa miezi 3 paka 4
Mradi upo 3km kutoka lami.
Viwanja ni vizuri kwa ujenzi wa APARTMENT, makazi na biashara, maji yapo kwenye mradi, umeme upo kwenye mradi, bajaji mia 700 tu.
Ukubwa viwanja kuanzia sqm 200(40X50futi) ,400,600,800,1000.
..
2]MRADI WA VIKINDU CHANG'OMBE.
Bei Ya kiwanja kwenye miradi huu million 1.3 tu [tsh 1,300,000/=], utaanza na LAKI NANE TU ( TSH 800,000/=) kiasi kinachobakia utapewa miezi 3.
Maji yapo site, umeme upo karibu, viwanja vipo karibu kabisa na barabara kubwa ya ndani.
Mradi upo 6km kutoka lami.
Bajaji tsh 1000 paka site.
Ukubwa kuanzia sqm 200(40X50futi) , 400, 600,800,1000.
..
Usafiri wa kufika hapa VIKINDU kutoka Kariakoo, Posta, tandika, temeke, feryy ni uhakika muda wote, unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.
..
NB. Karibu kuona viwanja kila siku, tupo kuanzia saa 4 asubuhi paka 10 jioni.
OFISI ZETU ZIPO VIKINDU.

Safari hii ushindwe ww tu kujenga na chagile Real Estate.

Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.

..
chagile_real_estate_tz
chagile_real_estate_tz

..
#simbasc #yangasc #tanzania #rayvanny#zuchu #azamsports2

Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]
chagile_real_estate_tz
Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]

Similar items by location

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 800,000

APPARTMENT INAPANGISHWA ENEO LA MJINI______MAHALI-MEDELI (KARIBU NA MORENA HOTEL)______IKO GHOROFA Y...

3 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 800,000

MJINI KATI MWANZA NYUMBA INAPANGISHWA UNIT ONE VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))SEBURE JIKOP.TOILE...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,300,000

JE WEWE NI MMOJA WAPO UNAYEITAJI/KUHANGAIKA KUPATA VIWANJA VYA MJINI....!?.. Hii inakuhusu wewe unay...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,800,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI. Ofa yetu bado inaendelea. Bei ni Million tano na laki nane T...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,800,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI. Ofa yetu bado inaendelea. Bei ni Million tano na laki nane T...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,800,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI. Ofa yetu bado inaendelea. Bei ni Million tano na laki nane T...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 70,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI. Usiteseke Kutafuta Viwanja vya MJINI. Njoo kwetu Chagile Rea...

3 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 800,000

MJINI KATI MWANZA NYUMBA INAPANGISHWA UNIT ONE VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))SEBURE JIKOP.TOILE...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 125,000,000

👉KIWANJA KIZURI KINAUZWA👉USIKOSE NA HIKI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍MAHALI- DODOMA ITEGA USHUANI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉U...

House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 5MPYA MPYA MPYA !!!!!!!! 🌟 APARTMENT HII ...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 50,000 per month

Habari Tunauza viwanja Vilivyopimwa vipo chalinze mkoa wa Pwani eneo linaitwa Magome 4 km kabla ya k...

Retail Space for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 1,200,000

FLEM KUBWA SANA INAPANGISHWA IPO MJINI POSTA BEI MILIONI 1.2PIGA O747196597 WHATSAPP

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,500,000

Happy Friday📌Karibuni niwapeleke site wateja wangu ✅Viwanja bado vinapatikana (Malipo kwa awamu sit...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 40,000,000

KIWANJA KINAUZWA kikuyu WEST 👉 SQM 1200 👉 BLOCK H 👉Bei 40milion 👉 4 kilometres KUTOKA dodoma mj...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 40,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIKUYU WEST BLOCK H JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 1,200 sq.mKipo kilometre 4 toka mji...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 17,800,000

KIWANJA KINAUZWA JIRANI NA SGR STATION DODOMA.👉6km kutoka mjini na mita 100 nyuma ya sgr station .�...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 7,000,000

👉🌴 VIWANJA VINAUZWA UKUBWA MIGUU 17 KWA 17 VIPO TAMBARARE NA VIPO MJINI HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIP...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 27,000,000

KIWANJA KINAUZWA MLIMWA C JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 700 sq.mKipo jirani na mjiniEneo limejengekaKi...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 37,000,000

KIWANJA KINAUZWA ILAZO EAST BLOCK C JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 608 sq mKina HATIEneo limejengekaJir...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 58,000,000

KIWANJA KINAUZWA ITEGA BLOCK FF JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 1,386 sq.mKikubwaKipo jirani na mjiniEne...