House for rent at Moshono, Arusha


Nyumba ya bedroom 3 ina pangishwa jijin arusha moshono siara
Yenye vyumba 3 vya kulala zote master public toilet sitting kitchen dining room vyumba ni vikubwa na ina parking kubwa sana nyumba ina jitegemea yenyewe getin bei 500000 kwa mwezi kutoka barabara ya lami mita 300 kwa mwiitaji piga number 0753503791/0784457400