House for Rent at Mwenge, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA 
Loc: Mwenge 
Price:200,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Chumba master,full tiles gypsum board madirisha ya kioo nzuri Karibu na barabara ya kuwahi
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈



















