House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA (VIWILI MASTER) NA VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI, SEBULE KUBWA, DINING NA JIKO LENYE KABATI.
NYUMBA NI KUBWA SANA AISEEE, KIUSALAMA IKO VIZURI INA ELECTRIC⚡️WIRED FENS NA CCTV CAMERA, PIA INA GARDEN NZURI.
MAJI DAWASA TENKI LIPO NA PARKING KUBWA YAKUTOSHA.
KODI: 400000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 4.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
PIGA SIMU: 0692423138 / 0719115949.