House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. UMEME INAJITEGEMEA, FENI SEBULENI NA CHUMBANI, MAJI DAWASA YANATOKA JIKONI NA CHOONI.
KODI: 100000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI SITA.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.