House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA (NYUMBA MPYAAAA)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE SINKI, ZIKO NYUMBA MBILI TU NDANI YA FENSI. MAJI NA UMEME NI WAWILI TU KILA MTU UNASUBMETER, MAJI YANATOKA NDANI.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.