House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


IPO WAZI NI YA KUJA KUONA ULIPIE NA UAMIE HATA LEO LEO
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZ MINNE (4)
APARTMENT NZUR MNOOOO
INAPANGISHWA 300X4
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KUTOKEA KIMARA KOROGWE
AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENA
KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
PIA DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
APA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN PIA RESERVE TANK LIPO KUBWA LA LITA ELIFU 5
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030