House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR MNOOOOO INAPANGISHWA 
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN 
NA USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 
SIFA ZAKE 
#######
CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA CHOO NDAN 
KIDI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI 
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
UMBALI KM  2 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE  AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
0742260844
0657384670




















